Home KIMATAIFA NABI, MORRISON NA FAR RABAT WAAGA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

NABI, MORRISON NA FAR RABAT WAAGA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

0

Miamba ya Morocco, FAR Rabat inayonolewa na aliyekuwa kocha wa Yanga SC, Nasreddine Nabi imeaga mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha jumla cha 3-1 dhidi ya Etoile Sahel ya Tunisia.

FT: FAR Rabat 🇲🇦 1-2 🇹🇳 Etoile Sahel (Agg. 1-3)
🟥 Marour18′
⚽ Zouhzouh 90+4′

⚽ Naouali 20′
⚽ Aouani 64′

Winga wa zamani wa Yanga SC na Simba SC Bernard Morrison alianza kwenye mchezo huo.

Nabi ameaga mashindano ya CAFCL kikatili baada ya mchezaji wake Zouhair Marour kula umeme dakika ya 18 tu.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here