Home HABARI ZA SIMBA LEO PRISONS WAWEKEWA SH 25 MILIONI, KUICHAKAZA SIMBA SC

PRISONS WAWEKEWA SH 25 MILIONI, KUICHAKAZA SIMBA SC

0

Katika kuweka Motisha kwa wachezaji wa Tanzania prisons ili kutafuta matokeo ya ushindi katika mchezo wao wa leo dhidi ya Simba Sc.

Uongozi wa klabu ya Tanzania Prisons kwa kushirikiana na baadhi ya wadau umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.

Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.

Mchezo huo utakaopigwa katika uwanya wa Sokoine uliopo jijini Mbeya ambapo utachezwa majira ya saa kumi jioni, Tayari mpaka sasa Simba ikiwa na Pointi tisa kibindoni ikiwa katika nafasi ya tatu huku Tanzania Prinsons ikishika mkia huku ikiwa na pointi moja kibindoni.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here