• About Us
  • Blog No.1 Kwa Habari za Michezo na Burudani
  • Contact Us
  • Privacy Policy
Saturday, December 9, 2023
SOKALEO
  • HOME
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI LEO
  • TETESI ZA USAJILI
No Result
View All Result
SOKALEO
  • HOME
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI LEO
  • TETESI ZA USAJILI
No Result
View All Result
SOKALEO
No Result
View All Result

SINGIDA FOUNTAIN GATE WAPETA UGENINI

Chikao by Chikao
October 6, 2023
in KITAIFA
0 0
singida
Share on FacebookShare on WhatsappShare on Telegram

SINGIDA Fountain Gate imefanikiwa malengo ya kusaka pointi tatu kwa msimu wa 2023/24 ikiwa Uwanja wa Manungu.

Katika mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Manungu dakika 90 zilikuwa upande wa Singida Fountain Gate waliopata ushindi.

Dakika 90 ubao umesoma Mtibwa Sugar 0-1 Singida Fountain Gate bao pekee ma ushindi likifungwa na Elvis Rupia dakika ya 43.

Kwenye mechi tatu ambazo Singida Fountain Gate ilicheza ilikuwa bado haijaambulia ushindi kwenye ligi.

Huu unakuwa ni mwanzo kwa kupata ushindi kwa timu hiyo ambayo ilitoka kwenye hatua ya Kombe la Shirikisho kwa kuondolewana Futere ya Misri.

Tags: Singida Fountain Gate FC
ShareSendShare
Previous Post

SERIKALI IAMUE MOJA TU, IZIBEBE MOJA KWA MOJA GHARAMA

Next Post

HIVI NDIVYO MGAWANYO ULIVYO, POTI ZA SIMBA NA YANGA KIMATAIFA

Related Posts

ihefu
KITAIFA

MASHUJAA MAMBO SIO MAMBO, HUKU IHEFU NAO WAFUFUKA KIMASIHARA

December 8, 2023
Ahmed Ally
KITAIFA

AHMED ALLY: NGOMA IKIWA NGUMU TUPATE ALAMA MOJA TU

December 8, 2023
lomalisa
KITAIFA

MAJEMBE YATAKAYOCHUKUA NAFASI YA MWAMBA LOMALISA

December 8, 2023
Simba chama
KITAIFA

MTEGO WA CHAMA DHIDI YA WYDAD UMEKAA HIVI

December 7, 2023
Load More

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Here

No Result
View All Result
ihefu

MASHUJAA MAMBO SIO MAMBO, HUKU IHEFU NAO WAFUFUKA KIMASIHARA

December 8, 2023
Ahmed Ally

AHMED ALLY: NGOMA IKIWA NGUMU TUPATE ALAMA MOJA TU

December 8, 2023
Pogba

POGBA KUKABILIANA NA KIFUNGO CHA MIAKA 4

December 8, 2023
lomalisa

MAJEMBE YATAKAYOCHUKUA NAFASI YA MWAMBA LOMALISA

December 8, 2023
Anza siku yako kimichezo kwakupitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti leo tarehe 8 December 2023, Pitia vichwa vya habari na ujipatie nakala yako leo.

TUNAANZIA HAPA!, GAMONDI MZUKA,MATAJIRI WASHTUA – MWANASPOTI LEO

December 8, 2023
Simba chama

MTEGO WA CHAMA DHIDI YA WYDAD UMEKAA HIVI

December 7, 2023

Msimamo wa Ligi Kuu

SOKALEO

© 2023 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

  • Home
  • Privacy Policy
  • Contact Us
  • About Us

No Result
View All Result
  • HOME
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI LEO
  • TETESI ZA USAJILI

© 2023 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In