Chama Cha Soka nchini Uhispania kipo kwenye mpango wa kupeleka mchezo wa Spanish Super Cup wa mwezi Januari, 2024 nchini Saudi Arabia.
Spanish Super Cup ambayo imekuwa na utaratibu wa kupigwa nje ya Uhispania kwa lengo la kutangaza klabu za Hispania na ligi yao kwa ujumla mara hii huenda ikapigwa kwenye dimba la Al Nassr nchini Saudi Arabia ikiwa mipango hiyo itakamilika.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE