Klabu ya Yanga imethibitisha kuwa mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Azam uliopangwa kuchezwa Jumapili umeahirishwa hadi Jumatatu ya Oktoba 23, 2023.
Mchezo huo utapigwa saa 12:30 uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
Mabadiliko hayo yanajumuisha pia na mchezo wao dhidi ya Singida Fountain Gate ambao sasa utachezwa Oktoba 27, 12:15 uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE