Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga SC dhidi ya Azam FC ambao utachezwa Jumatatu Oktoba 23, 2023 sasa rasmi utapigwa uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
Awali mchezo huo ulipangwa kuchezwa Jumapili Uwanja wa Azam Complex, kabla ya kutangazwa mabadiliko hayo, ambapo taarifa ya Yanga imeeleza mchezo huo sasa umehamishiwa uwanjani hapo.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE