Home HABARI ZA YANGA LEO YANGA WALAMBA SHAVU KUTOKA SHIRIKA LA BIMA LA NIC

YANGA WALAMBA SHAVU KUTOKA SHIRIKA LA BIMA LA NIC

0
Yanga

Mabingwa watetezi wa Ligi kuu Kandanda Tanzania Bara klabu ya Yanga imeingia mkataba na shirikia la bima la NIC na sehemu ya makubaliano ya mkataba huo NIC itaanza kutoa zawadi kwa mchezaji wa Yanga ambaye amefanya vizuri kila mwezi.(POTM)

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here