Home KITAIFA BREAKING: SIMBA WACHANA NA ROBERTINHO

BREAKING: SIMBA WACHANA NA ROBERTINHO

0
Robertinho

Simba SC imeachana na kocha Robert Oliveira ‘Robertinho’ baada ya makubaliano ya pande zote mbili.

Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo kupitia mitandao ya kijamii imeeleza kuwa pia wamefikia makubaliano ya kuachana kocha wa viungo Corneille Hategekimana.

Simba wameeleza katika kipindi hiki, timu itaongozwa na kocha Daniel Cadena akisaidiwa na Suleiman Matola.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here