Home KITAIFA CADENA KUVAA VIATU VYA ROBERTINHO SIMBA

CADENA KUVAA VIATU VYA ROBERTINHO SIMBA

0
Daniel Cadena

Klabu ya Simba imemtangaza, Daniel Cadena kuwa Kocha wa mpito wa klabu hiyo akichukua nafasi ya Roberto Oliveira ‘Robertinho.

Cadena atakuwa akisaidiwa na Kocha wa timu ya vijana ya klabu hiyo, Seleman Matola.

Hii ni kwa mujibu wa taarifa rasmi ya klabu hiyo mchana huu na kueleza ” Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Roberto Oliveira Goncarves Docarmo ‘Robertinho”.

Hata hivyo taarifa hiyo imeeleza kuwa klabu ipo katika mchakato wa kukamilisha upatikanaji wa makocha wapya.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here