Home KITAIFA CCM NAO WAJA NA JAMBO LAO DABI YA KARIAKOO, UNAAMBIWA GOLI MOJA...

CCM NAO WAJA NA JAMBO LAO DABI YA KARIAKOO, UNAAMBIWA GOLI MOJA NG’OMBE MMOJA

0
paul makonda

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM-Itikadi na Uenezi, Paul Makonda ametangaza ahadi ya kununua magoli yatakayopatikana kwenye Derby ya Kariakoo kati ya Simba SC na Yanga SC, kwa Ng’ombe mmoja kwa goli litakalopatikana.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM-Itikadi na Uenezi, Paul Makonda ametangaza ahadi ya kununua magoli yatakayopatikana kwenye Derby ya Kariakoo kati ya Simba SC na Yanga SC, kwa Ng’ombe mmoja kwa goli litakalopatikana. Makonda ametoa ahadi hiyo kwenye usiku wa hafla ya tuzo za WISAC zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Novemba 04 jijini Dar es Salaam.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here