Home KITAIFA GAMONDI ASEMA HANA REKODI YA KUVUNJA DHIDI YA SIMBA

GAMONDI ASEMA HANA REKODI YA KUVUNJA DHIDI YA SIMBA

0
gamondi

Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amesema hana rekodi yoyote ya kuvunja dhidi ya Simba kwani hajawahi kupoteza dhidi ya timu hiyo.

Kocha huyo amesema katika mchezo mmoja aliocheza dhidi ya Simba alipata sare lakini wapinzani wake walifaidika kwa changamoto ya mikwaju ya penati kitu ambacho yeye anaaminini alimaliza kazi yake ndani ya dakika 90.

Ameongeza kuwa kinachokwenda kutafutwa uwanjani kesho ni heshima ya Klabu ya Yanga na sio ya kocha wa Yanga.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here