Home KITAIFA MANARA AOMBA MECHI YA LEO, SIMBA NA YANGA IHAIRISHWE

MANARA AOMBA MECHI YA LEO, SIMBA NA YANGA IHAIRISHWE

0
manara

Kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, @hajismanara ameshauri kuwa ni bora mechi hiyo iahirishwe.

Kupitia akaunti yake ya mtandao wa Instagram, Manara ameandika:

“Hali ilivyo Dar Kwa sasa ni mbaya mno, Mvua ya El Nino imegoma kutuachia, Watanzania wengi hawatoki majumbani kwao nyakati kama hizi, Uwanja maji yametuama, tunaonaje isogezwe mbele hii mechi?

“Hakutakuwa na ladha ya football na nafasi ya wachezaji kuumia wakati wa mvua ni kubwa.

“Hapo sijaongelea kukosa mapato mengi kwa team mwenyeji, rai yangu kesho nayo ni siku.”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here