Home KITAIFA MMESIKIA MALALAMIKO YA ULIMWENGU LAKINI?

MMESIKIA MALALAMIKO YA ULIMWENGU LAKINI?

0
Ulimwengu

Mshambuliaji wa Singida Big Stars, Thomas Ulimwengu, amesema vilabu vya Tanzania havithamini wachezaji wazawa na badala yake wanathamini wachezaji wakigeni ambao wengi wao wanakuja kucheza Ligi Kuu ya Tanzania kufuata malipo mazuri na umaarufu tu

“Mimi naona wachezaji wengi wamefanya (Tanzania) kama ni njia, Wanaona kabisa nikija Tanzania nikifunga magoli kadhaa naondoka. Klabu za Tanzania zinathamini sana wachezaji wa nje kuliko wazawa, Wanakuja hapa, wanathaminiwa sana wanalipwa vizuri, So hakuna mchezaji ambaye hapendi kwenda kwenye mpira akalipwa vizuri, wanakuja kwa sababu wanaona kuna mafanikio” amesema @thomasulimwengu

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here