Leo kikosi cha Simba SC kimecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Dar City na kushinda goli 4-0.
Wafungaji wa magoli hayo ni beki Che Malone, Willy Onana, Israel Mwenda Patrick na Moses Phiri.
Mnyama anaendelea kujifua kwaajili ya mchezo wa kwanza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast.
Mechi hiyo itachezwa Benjamin Mkapa Novemba 25, 2023 saa 10:00 jioni
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE