SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limekijumuisha kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) miongoni mwa Mataifa 10 yanayowania tuzo ya timu bora ya taifa barani Afrika 2023.
Ikumbukwe Taifa Stars ndani ya mwaka huo ilijihakikishia nafasi ya kufuzu michuano ya AFCON itakayofanyika mwakani nchini Ivory Coast.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE