Home KITAIFA WAZEE WA SIMBA WATAKA MANGUNGU, TYR AGAIN WAJIUZULU, WATOA SAA 24

WAZEE WA SIMBA WATAKA MANGUNGU, TYR AGAIN WAJIUZULU, WATOA SAA 24

0
Wazee wa Simba

Wazee wa Klabu ya Simba maarufu kama Wazee wa Simba, wamewataka viongozi wa Simba akiwemo Mwenyekiti wao Murtaza Mangungu na Try Again wajiuzulu nafasi zao kwa kile walichodai kuwa ni uzembe kwa kushindwa kuiongoza klabu hiyo.

Wazee hao wamesisitiza kuwa wanawapa masaa 24 viongozi hao wawili wajiuzuru kwa hiyari yao ili kulinda heshima zao.

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here