KIMATAIFA

ATAJIRIKA KUPITIA MAMELODI ANUNUA TIMU

Timu ya Mamelodi Sundowns imetangaza kuachana na aliyekuwa mchezaji wao Gift Motupa baada ya kuonyesha kiwango kibovu msimu huu hali iliyopelekea kusugua benchi kwa muda mrefu.

Kipindi Motupa akiwa bado ana mkataba na Mamelodi alikuwa akiingiza kitita cha Tsh Milioni 120 kwa mwezi pesa iliyompa utajiri mpaka kufikia kuinunua klabu ya Seshengo Kings iliyopo Ligi Daraja la Pili huko Sauzi na kuibadili Jina kuwa Thogoaneng FC.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button