KITAIFATETESI ZA USAJILI

BAADA YA KUACHWA BALEKE KUTUA ZAKE TP MAZEMBE

Baada ya kutemwa na kikosi cha Simba siku ya jana mshambuali Jean Baleke kutokea DR Congo akiachwa kuenda kutafuta malisho sehemu nyingine.

Inaelezwa kuwa Rasmi, mshambuliaji huyo amerejea katika timu yake ya TP Mazembe ya kutoka nchini kwao DR Congo 🇨🇩

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button