KIMATAIFA

CAF WAMFUNGULIA KOCHA WA MOROCCO

Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limemfutia adhabu zote kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Morocco Walid Regraoui mara baada ya kuonekana Hana hatia,

Awali kocha huyo alifungwa michezo minne pamoja na adhabu ya pili ya kufungiwa miezi 12 kutojihusha na soka ndani na nje ya bara la Africa.

Adhabu zote zimefutwa na Sasa yupo huru kuendelea na shughuli Zake ndani ya timu ya taifa ya Morocco.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button