KIMATAIFA

JOSE MOURINHO ATUPIWA VIRAGO AS ROMA

Timu ya AS Roma ya Italia baada ya kuwa na matokeo mabaya kwenye Ligi imeamua kumfuta kazi Kocha wao Jose Mourinho baada ya kupokea kipigo cha bao 3-1 kutoka kwa AC Milan Januari 14.

Kichapo dhidi ya Milan kilikuwa cha saba kati ya michezo 20 ya Ligi na kuwafanya wawe nafasi ya tisa kwenye msimamo.

Wanangu wa mikeka kama nawaona mnavyofurahia hii habari.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button