KIMATAIFA

MESSI AMESHINDIKANA ABEBA TENA TUZO FIFA

Mshambuliaji wa klabu ya Inter Miami ya Marekani na timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Shirikisho la soka duniani FIFA kwa mwaka 2023,

Messi amechukua tuzo hiyo mbele ya wapinzani wake nyota wa Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe na mshambuliaji wa Manchester City, Erling Haaland huku tuzo hiyo akiibeba kwa mara ya tatu baada ya kushinda mwaka 2019 na 2022.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button