KITAIFATETESI ZA USAJILI

SIMBA WALIMUHITAJI KIUNGO HUYU ILA WAKAPIGWA BAO

ZIKIWA zimesalia siku chache kufungwa kwa dirisha dogo la usajili inaelezwa ya kwamba kocha mkuu wa simba Abdelhak Benchikha anamuhitaji kiungo Maarouf Tchakei kutoka Singida Fountain Gate ambapo inaelezwa alivutiwa naye baada ya kumuona kwenye kombe la Mapinduzi.

Tchakei alikuwa pia anapigiwa hesabu na mabosi wa Simba ambao walikuwa wanahitaji saini yake ijapokuwa  mabosi Simba walipeleka ofa kuhitaji saini yake walipishana nayo Kwa kumkosa huku akitajwa kuuzwa Ihefu.

Januari 17 Simba ilimtambulisha kiungo mwingine wa kazi Edwin Balua ambaye alikuwa anacheza ndani ya Tanzania Prisons hivyo anakuwa kwenye changamoto mpya wakati ujao msimu wa 2023/24.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button