KIMATAIFA

TAIFA STARS YASHIKA NAFASI 8 JEZI BORA AFCON

Kwa mujibu wa mtandao wa @copa90 wametoa orodha ya jezi 10 nzuri zaidi kwenye michuano ya kombe la AFCON 2023 inayoendelea huko Ivory Coast.

Jezi ya nyumbani ya Tanzania (Bluu) Copa90 wameitaja jezi hiyo kuwa ndio imeshika nafasi ya 8 kwa ubora

10. Jezi ya nyumbani ya Morocco
9;- Jezi ya nyumbani ya Guinea Bissau
8;- Jezi ya nyumbani ya Tanzania
7;- Jezi ya nyumbani ya Cape Verde
6;- Jezi ya nyumbani ya Nigeria
5;- Jezi ya nyumbani ya Mali
4;- Jezi ya nne ya Afrika Kusini
3;- Jezi ya ugenini ya Algeria
2;- Jezi ya nyumbani ya Ivory Coast
1;- Jezi ya ugenini ya Tunisia

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button