KIMATAIFA

“WANAOCHEZA HOVYO AFCON NDIO WANASHINDA MECHI”

Kocha wa Timu ya Taifa Afrika Kusini, Hugo Broos baada ya jana kupoteza mchezo wao wa nusu fainali ya #AFCON2023 dhidi ya Nigeria amesema kuwa anashangaa kwenye AFCON ya mwaka huu yaani anayecheza vibaya ndio anashinda mechi halafu yule aliyecheza vizuri ndo anafungwa

“Mechi dhidi ya Cape Verde tulishinda lakini hatukucheza vizuri, Leo dhidi ya Nigeria tumecheza vizuri na wao hawakuwa vizuri lakini hatujashinda na wao wameshinda.. huo ndio Mpira.. nawapongeza wachezaji wangu wamejituma na sasa tunahamashia nguvu kwenye Michezo ya kutafuta kufuzu Kombe la Dunia.” Amesema Kocha Hugo

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button