MBAPPE KUMTOA SALAH LIVERPOOL
Liverpool inaweza kumwachilia Mohamed Salah, msimu ujao ili kufungua njia kwa Kylian Mbappe.
Mbappe, mwenye umri wa miaka 24, ameeleza wazi nia yake ya kuondoka...
SIMBA SIO KINYONGE ATUA BOTSWANA KIFALME
Wekundu wa Msimbazi Simba SC tayari wamewasiri nchini Botswana tayari kwa ajili ya kupepetana na Jwaneng Galaxy hapo kesho Desemba 2, 2023.
Simba wamewasiri wakiwa...
SINGIDA FOUNTAIN GATE KUKIWASHA NA WAJEDA
HELLO Desemba Mosi Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi ambapo leo Desemba Mosi, Uwanja wa Liti dakika 90 za jasho zinatarajiwa kuwa kwa...
BAADA YA KUKOSEKANA KWA MUDA MREFU, BURUDANI INAREJEA
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa burudani inarejea mahali pake baada ya kukosekana kwa muda ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Desemba 2 2023 Yanga inatarajiwa kushuka Uwanja wa Mkapa kumenyana na Waarabu...
ROBERTINHO AIBUKIA YANGA AMPA GAMONDI MBINU ZA KUIUA AL AHLY
Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi ya mchezo wa pili wa makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri, huku...
BENCHIKHA ATIKISA KAMBINI – MWANASPOTI LEO
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo tarehe 1 December 2023, tazama vichwa vya habari na ujipatie nakala yako.
WAFCON KUTIMUA VUMBI LEO, TWIGA STARS KUSHUKA DIMBANI
TIMU ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake (Twiga Stars) leo inashuka dimbani katika mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya...
AL AHLY KUTUA DAR LEO, MASTAA HAWA WA YANGA NJE YA DIMBA
Ofisa Habari na mawasiliano wa Al Ahly, Gamal Gabr amesema timu hiyo itatua nchini leo na wachezaji 25 huku nyota watatu Taher Mohamed, Antony...
UONGOZI WAWATULIZA WANASIMBA, MRATIBU ATOA KAULI HII
Mratibu wa Simba, Abbas Ally amesema kitendo cha kubadilishiwa uwanja dhidi ya Jwaneng Galaxy Jumamosi walikishtukia kabla kwa hiyo hakitawatoa mchezoni. Awali walikuwa wacheze...
SIMBA YASHTUKIA ISHU BOTSWANA – MWANASPOTI LEO
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo tarehe 30 November 2023, tazama vichwa vya habari na ujipatie nakala yako.
VURUGU KWA MASHABIKI MUDA WAKE UMEGOTA MWISHO
MASHABIKI ni muhimu kufika uwanjani kwa ajili ya kushangilia mechi ambazo zinachezwa lakini ni muhimu kuwa makini na kuacha kufanya vurugu kwenye mechi husika.
Afya ni muhimu kwa mashabiki ili kuendelea kusukuma gurudumu...
SIMBA YAYEYUSHA DAKIKA 450 BILA USHINDI
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa, Simba wameandika rekodi yao kwenye anga hilo kwa kukomba dakika 450 sawa na mechi tano bila kuambulia ushindi.
Kwenye mechi hizo, mbili ilikuwa ni African Football...
MAXI NZENGELI, AZIZ KI TAYARI KUWAVAA WAARABU
NYOTA wa Yanga ikiwa ni pamoja na Maxi Nzengeli, Pacome Zouzoah, Zawadi Mauya, Kibwana Shomari wapo kamili kuwavaa Waarabu wa Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Yanga inayonolewa na Kocha...
USHINDANI KWENYE LIGI KUU BARA UENDELEE
MZUNGUKO wa kwanza bado unaendelea kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara. Ikumbukwe kwamba kwa sasa timu nyingi zinapambana kufanya vizuri na kupata matokeo ndani ya uwanja.
Kila timu inafanya vizuri ndani...
NIMEWASIKIA: KOCHA MPYA SIMBA AANZA NA MAMBO HAYA – MWANASPOTI LEO
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo tarehe 29 November 2023, tazama vichwa vya habari na ujipatie nakala yako.